Monday 15 December 2014

AHADI KATIKA ROHO na KWELI.

SHALOM,

Ndugu zangu katika Kristo Yesu,

Ni siku ya kutimiza ahadi ambayo tulijiwekea Wanaelishadai ya kwamba watoto wa nyumba ya malezi Watoto Wetu Tanzania wasile Ugali wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka.

Naye Mungu kwa mkono ulio mkuu sana ametutendea maajabu. Mungu wetu ni mkuu na matendo yake ni makuu.

Matukio katika picha:






























  








No comments: