Makala za Mwl. A.B.Mrosso















SHALOM, 
Leo tutazame kwa habari ya maamuzi katika maisha yetu yana sehemu gani katika mafanikio yetu hata siku za utumishi wetu hapa duniani.?


“MAFANIKIO YANATEGEMEA NA NGUVU ILIYO KATIKA  MAAMUZI YAKO JUU YA MAFANIKIO”

BWANA YESU ASIFIWE,

Katika uumbaji wake Bwana MUNGU amekupa nafasi ya kuamua aina ya maisha  yako  kuwa  ya  kimasikini (nyonge) au kumiliki na kutawala.
Maamuzi ni kuamua juu ya jambo Fulani,Mungu amekupa nafasi ya kuamua juu ya maisha yako.Kwa mfano katika  
 DANIEL 1:8, ISAYA 1:16-19 
Maamuzi unayoyafanya juu ya kutii sheria ya Bwana ama kutotii ndio utakaoamua  aina ya maisha yako.Kumbuka Mungu ameweka nguvu ndani yako ili kufanikisha mipango yako.
TORATI  4:7,, 26:16-19,   KUTOKA  6:7
Maamuzi unayofanya juu ya kutii sheria ya Bwana ama kutotii ndipo unapoamua aina ya maisha yako.KumbukaBwana ameweka nguvu ndani  yako ili uitumie kufanikisha mipango yako.
 YOHANA  1:12 


Ni pende kushukuru kwa upendo huu na nafasi hii Mungu aliyopenda kutushirikisha kwa pamoja Mungu asikie hitaji lenu kila mmoja mmoja awabariki na kuwalinda sana.

Kwa maoni na ushauri usisite kutuandikia.


NGORONGORO 

Na Mwl.A.B.Mrosso


 

No comments: