Monday 7 December 2015

12.DEC.2015, SADAKA YA SHUKRANI



 Shalom,

Wana wa Mungu. Nichukue nafasi hii kuwa karibisha ktk sadaka ya shukrani kwa watoto wenye uhitaji ktk kituo cha Watoto Wetu Tanzania, zamani Don Bosco. Kimara-Suka. Jumamosi,12/12/2015, saa tano asubuhi (11:00am)
Njoo na rafiki yako chochote kwao ni sadaka hata uwepo wako tu ni sadaka tosha.

Karibuni sana.
Amani na salama