Thursday 28 April 2016

KUFUNGUA TAWI LA UKWATA MAKONGO JUU


Na Joseph Moriah,
Shalom watu wa Mungu,
Leo Mwl. Mrosso AB atakuwa kwenye huduma katika shule ya sekondari Makongo juu, itakuwa ibada ya kufungua tawi la UKWATA.

Baada ya hapo Mwl. Mrosso AB majira ya mchana atazungumza na wana UKWATA wa chuo cha ualimu KINDERCARE.