Monday 17 February 2020

SHULE YA MSINGI UHURU MCHANGANYIKO

Tunatarajia kuwa sehemu ya jamii iliyotuzunguka kwa upendo dhabiti, kuja kwa pamoja kushiriki zawadi zetu pamoja na wanafunzi wa shule msingi yenye uhitaji maalumu ya Buguruni mchanganyiko jiji Dar es Salaam.

Hivyo tuna amini nguvu ya kila mwanafamilia pamoja na wadau wengine katika jamii kusimama nasi katika hili.

No comments: