Sunday 6 January 2019

MAANADALIZI YA UCHAPAJI WA KITABU




Ni kipindi kingine tena ndugu katika bwana kristo yesu wa kufanya mchango kidogo kwa ajili ya kuchangia uchapaji wa kitabu hiki cha kwanza kabisa ncha huduma hii ya Elishadai kikiandikwa na mwenyewe Mwalimu Mrosso A. B.


Kwa imani yangu na yenu iliyokuwa kabisa natumaini tutaungana mkono katika kulifanikisha hili, matarijio yetu ni kabla ya 31-March-2019 kitabu kiwe kimekamilika na mategemeo yetu ni kwa watu wote wenye moyo wa kuindesha na kuifanikisha safari yetu ya imani kwa njia ya kusoma vitabu vya kiinjili vilivyo na sura chache na tena ni chepesi kubebeka.

Namna ya kuchangia kuna simu-bank yaani Vodacom M-Pesa na Tigo Pesa lakini kama upo karibu na ungependa hata kututembelea au sisi tukutembelee yote kwetu ni heri katika kurasa zetu utaweza pata mawasiliano pale bila shida yoyote. 


Pia kupitia namba hizohizo waweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kwa njia ya sms au kwa kupiga moja kwa moja. Kila mmoja na afanye kama moyo wake ulinavyo mtuma kutenda.


M-PESA   0764-31 29 65



TIGO-PESA    0654-19 20 15


ZOTE ZINASOMA JINA A.B. MROSSO