Monday 7 January 2019

VITAMBUE VIKWAZO VIKUU KATIKA KUFIKIA NDOTO YAKO.




Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake na sura yake kusudi mwanadamu atawale badala yake hapa duniani. Mwanzo 1:26, Yeremia 1:4-10


Kila mwanadamu ameumbwa kwa kusudi maalum ndo maana kila mmoja wetu ana kipawa tofauti na mwingine lakini sio wote wanatimiza kusudi hilo kutokana na vikwazo mbalimbali.


Unapotaza mchoro hapo juu taelewa sasa maana ya vikwazo ni nini