Thursday 17 January 2019

WACHE WALE TISINI NA KENDA MRUDIENI YULE MMOJA


Mwl/Mch AB Mrosso aliongoza ibada ya Christmass 25/12/2018 katika Kanisa la Moraviani la Uamsho Tanzania, usharika wa Sanje wilaya ya kilombero mkoan Morogoro.
Pamoja na mambo mengi Ibada hiyo iliambatana na Ubatizo, na kuwarejesha kundini wakristo kadhaa.
 Neno Luka 2:1-14.

Msisitizo katika mahubiri.
Upendo
Msamaha
Wokovu
Utoaji

No comments: