Tuesday 15 January 2019

UMUHIMU WA KUITUMIA NAFASI YAKO


…….KATIKA KULETA MABADILIKO(KIROHO)
Neno Kuu
Amuzi 6:11-16.
Kutoka kanisa la True God Ministry, Morogoro.


Mada:
Wewe ni wa Thamani kwa Mungu,bila kujali mazingira magumu unayopitia sasa.
Simama katika zamu yako kama mwombaji katika kuumba jambo unalolitamani litokee katika ulimwengu wa mwili.
Mungu hakutazami katika udhaifu ulio nao ila anakutazama kama shujaa maana ndiye aliye kuumba.
Mwisho napenda kusema,safari ya mafanikio yako sio nyepesi ivo, jiandae kulipa garama.
Mungu akubariki sana.
Mwl Mrosso Ab.
Huduma ya Elishadai
Morogoro Tanzania.

No comments: