Sunday 17 March 2013

ELISHADAI MINISTRY

TEMBELEA HAPA="(BONYEZA)"

 

TASWIRA NA DHAMIRA MAHUSUSI ZA HUDUMA

 

 

TASWIRA

Kuchochea na kutunza maisha ya kiroho kwa habari njema za MUNGU.
‘’INJILI KWA KILA KIUMBE’’

DHAMIRA

a)       Kueneza neno la Mungu kupitia semina na mikutano mablimbali
b)       kuwaleta watu kwa Yesu
c)       Kuwa pamoja na Yatima na Wajane
d)       Kukuza na kuchochea maono mbali mbali ya washirika na watu wote.
e)       Kuwa pamoja na vijana wajitambue na kusimama katika nafasi zao katika
·         Familia
·         Jamii
·         Kanisa
.    Taifa 

KARIBU ELISHADAI MINISTRY TUINEZE NA KUIPALILIA HATA MIISHO YA ULIMWENGU


"MILIKI NA UTAWALE KATIKA BWANA KRISTO YESU"

1 comment:

Anonymous said...

Jumbe zenu znatufikia