Thursday 18 April 2013

INAENDELEA NA SOMO LA KWANZA



SHALOM,

FUNGUO

  1. TAMBUA KUWA UNAYO KARAMA AU HUDUMA
  2.   KUJUA HUDUMA  YAKO MAALUM (KUSUDI) 2TIM 1:9-11
  3.   KUGUNDUA KARAMA MAALUM (KUSUDI)
  4. KUWA MWOMBAJI. (MAOMBI YA MUDA MREFU) MDO 6:3-7
  5. KUWA NA MAONO.(VISION)
  6. KUWA MWAMINIFU.( UICHOCHEE ) 1TIM 1:14, 2TIM 1:6
  7. LINDA TABIA YAKO
  8. UWE TAYARI KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU.
PIA ALISISITIZA KUWA HUDUMA SI CHEO, KWA SABABU WATU WENGI WAMEFANYA HUDUMA KUWA NI SEHEMU YA  VYEO VYAO.

SOMO 2: “NI YUPI MWANAFUNZI WA YESU.”


NA MWL. FAITH MOKOMOUA KUTOKA KENYA.
YN 8:31-32,   1PET 2:21

KANUNI ZA MWANAFUNZI WA YESU

ü  KUNYENYEKEA HATA KAMA UNA HUDUMA AU KARAMA LK. 6:40
ü  KUISHI KULINGANA NA NENO. YOS 1:8, YN 6:35
ü  KUJITOA KWA YESU ASILIMIA MIA (100%) MT. 6:8, 24., FLP. 4:19
ü  KUWAPENDA WENGINE. YN 13:34-35
ü  NI MWENYE KUWA NA SHAUKU YA KUTIMIZA AGIZO KUU. MK 16:5-7

GHARAMA ZA MWANAFUNZI WA YESU

*      KUJIKANA MWENYEWE LK 9:23
*      KUJITOA RUM 12:1
*      KUJARIBIWA 1PET 4:12-13, LK 14:26-35, MT 10:37-39, 19:27, 28:21.
*      KUWA LETA NA WENGINE KWA YESU. MT 28:18-19,  YN 17:18


TUKUTANE TENA KWENYE SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO YA RIPOTI HII YA SEMINA INAYOHUSU "UCHUMBA NA NDOA"

No comments: