Friday 11 January 2019

JE UMESUMBUKA NA VILE WATU WAKUONAVYO.?


Watu wanaweza kukudharau kutoka na vigezo walivyonanvyo vichwani mwao,

lakini haibadilishi ukweli kwamba wewe ni wathamani kuu mbele za Mungu, usijidharau kwa sababu watu wanakudharau, Tambua kwamba hakuna aliye na dhamani yako.Tuna mtu mmoja tu  anayeweza kuzuia usifanikiwe kiroho na kimwili na wala usikue kiroho na mtu huyo ni wewe mwenyewe. Jipende Mungu anakupenda na mno na ndio maana amekuumba.

Ujumbe:

Isaya 43:4-5.

No comments: