Friday 9 August 2013

MIAKA 5 YA KUHUDUMU

Elishadai Ministry,

Pamoja na rafiki wa huduma hii tukiwa katika tukio la kuadhimisha miaka mitano ya kuhudumu tangu huduma ilipo kuwa dhahiri kimwili. Ni katika kituo cha Watoto Wetu Tanzania zamani Friend's of don Bosco
ambapo tulishiki nao neno la faraja Mathayo 14:16. Pamoja na kushiriki nao ktk chakula cha mchana kwa pamoja.
Tunapenda wewe nawe uwe balozi na mtetezi wa jamii hii watembelee sasa.

No comments: