Friday 9 August 2013

BAADHI YA MAPAJI YALIOPATIKANA.

Shalom,

Mkurugenzi mkuu wa Elishadai Ministry akiwa katika picha ya kukabidhi  zawadi zilizopatikana wakati wa sharehe za kutimiza miaka mitano ya kuhudumu akiwa na baadhi ya watoto wa kituoni hapo na sehemu pia ya wana Elishadai.

No comments: