Thursday 28 November 2013

AHADI ZA MUNGU


SHALOM,


Ahadi za Mungu wala hazina upotofu na hazidanganyi kwa mwanadamu atapewa kwa wakati wake kama Mungu alivyo mkirimia na kwa ahadi ya kila mtu Mungu atukuzwe kwa hiyo.



Ni Neema yake Mungu atuongoze tujue na kuitambua ahadi yake mioyoni mwetu, maana mioyo yetu imekuwa chini ya akili za kibinadamu ambamo huupenda kuulinda na kuuthamini mwili na kuipoteza thamani ya Roho ambamo humo mwa tokea hata uzima ule ujao wa milele.

Tuombe kwa Mungu atuwezeshe kuifanya sehemu ya maisha yetu kuwa ina Sikia sauti ya Roho Mtakatifu ndani yetu ili tuishi kwa matakwa ya Mungu.

BARIKIWA.

No comments: