Wednesday 27 November 2013

ELISHADAI

SHALOM.

Ikawa una furaha sana kuwa pamoja nao popote ulimwenguni wapo tena wenye ukarimu na utayari hasa kwa wageni kwa maana humwesabu ni mmoja wao ambaye yeye hukaa makazi tofauti na wao hivyo kwa kufika kwake mgeni yule huona kama ni maarifa mapya yamewasili mahali pale hivyo furaha hutawala na vicheko vikapatiwa nafasi.

Watembelee watoto na vijana na pengne hata wazee waliopo katika dhiki na mahangaiko ili umkopeshe Mungu,.

Barikiwa.

No comments: