Monday 25 November 2013

FURAHA


WAWEZA KUWA NASI KTK FURAHA HIZI......

Ni furaha ya kutosha hata kuifanya sherehe ile kwa amani tena wa pendo la

Kristo Yesu katika ya marafiki wasio pungua ulimwenguni.



Shukrani za dhati na timilifu kwa yeye atutiaye nguvu katika utendaji kwa kuwa ndiye Mungu wetu aliye Elishadai.

Tunawakaribisha vijana wazee na hata watoto wajiunge nasi kwa kuitangaza na kuieneza Injili hata kwa mataifa na kwa wasio iamini wapata kuamini katika hiyo.

Barikiwa.


No comments: