Tuesday 26 November 2013

NENO LA FARAJA


"Umnyooshee Masikini mkono wako, ili Baraka upewayo ikamilike. 

Usikose kuwapo nao waliao, tena omboleaza pamoja nao wanao omboleza.

 Na katika mambo yako yote uukumbuke mwisho wako.

Hivyo hutakosa kamwe hata hatima."

No comments: